Resumen del episodio
Kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, ameapa kuchukua kila sehemu ya ardhi ya nchi yake iliyo chini ya udhibiti wa wapiganaji wa RSF, huku akikataa majadiliano yanayolenga kumaliza vita nchini humo.
Kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, ameapa kuchukua kila sehemu ya ardhi ya nchi yake iliyo chini ya udhibiti wa wapiganaji wa RSF, huku akikataa majadiliano yanayolenga kumaliza vita nchini humo.
Episodios
Mzozo wa Sudan waendelea, kiongozi wa kijeshi akikataa mazungumza na RSF
EscuchadoKiongozi wa kijeshi nchini Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, ameapa kuchukua kila sehemu ya ardhi ya nchi yake iliyo chini ya udhibiti wa wapiganaji wa RSF, huku akikataa majadiliano yanayolenga kumaliza vita nchini humo.
Kenya imeripoti maambukizi ya kwanza ya virusi vya Ebola aina ya Bundibugyo
EscuchadoMaadhimisho ya Siku ya kimataifa ya Walimu, kutambua mchango wao katika kujenga jamii
EscuchadoLicha ya hatua zilizopigwa, walimu kwenye nchi nyingi za Afrika wanalipwa mishahara midogo na wanafanya kazi kwenye mazingira magumu.Tunakuuliza je, walimu wanathaminiwa vya kutosha katika jamii yetu? Nchini mwako hali ikoje na nini kifanyike kuthamini na kuboresha maslahi ya walimu?
Maoni ya wasikilizaji kuhusu matukio mbalimbali ulimwenguni juma hili
EscuchadoKila siku ya Ijumaa tunakupa nafasi uzungumzie jambo ambalo umeliwazia wiki hii au pia habari kuu ulizozisikia katika matangazo yetu ya juma hili.
Manufaa ya kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya.
EscuchadoMakala haya yameangazia mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya, kitakachojengwa na Bilionea wa Afrika, Aliko Dangote, kiwanda hiki kikitarajiwa kukamilika ndani ya miaka mitatu na kitagharimu Dola za Marekani Bilioni 16. Tumeuliza msikilizaji anazungumziaje uwekezaji huu, hasa kwakuwa unafanywa na raia wa Afrika.