Muziki Ijumaa

Muziki Ijumaa

Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

00:00
00:00

Resumen del episodio

Msanii Wachira Wa Karangatha amepata umaarufu nchini Kenya, baada ya kuachilia kibao Pricilla. Benson Wakoli aliketi chini naye, skiza makala kufahamu mengi.

Episodios

191-

Kenya : Wachira Wa Karangatha na Pricilla

Msanii Wachira Wa Karangatha amepata umaarufu nchini Kenya, baada ya kuachilia kibao Pricilla. Benson Wakoli aliketi chini naye, skiza makala kufahamu mengi.

02 oct. 2026
190-

Burudani ya Muziki Ijumaa na Billy Bilali Septemba 25 2026

Pata makala yako Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Ali Bilali

25 sep. 2026
189-

Burudani ya Muziki ijumaa na Billy Bilali Julai 24 2026

Ambatana naye Billy Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa julai 24 2026, Kumbuka pia kumfuatilia @billybilali

24 jul. 2026
188-

Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji asiependa makuu Billy Bilali Juni 12 2026

Sikiliza burudnai hii ya Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali. Usikose pia kumfollow kwenye mitandal yake ya kijamii. @billy bilali

12 jun. 2026
187-

Pata Burudani ya Muziki Ijumaa rfi Kiswahili na Billy Bilali

Makala haya Muziki Ijumaa mtangazaji wako asiependa makuu Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki Ijumaa leo Mei 22 2026. Kumbuka pia kumfollow @billy bilali

22 mayo 2026