Resumen del episodio
Katika makala haya tunaangazia athari ya matumizi ya AI. Skiza makala
Katika makala haya tunaangazia athari ya matumizi ya AI. Skiza makala
Episodios
Kenya : Matumizi ya AI yanazidi kuwa ngumzo duniani
EscuchadoKatika makala haya tunaangazia athari ya matumizi ya AI. Skiza makala
Kenya : Wanaharakati wanashikiza kuachiliwa kwa Kizza Besigye
EscuchadoWanaharakati nchini Kenya, wamekuwa wakishinikiza kuachiliwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye, ambaye kesi ya uhaini dhidi yake bado inaendelea. Skiza makala haya kufahamu mengi.
Kenya : Wastaafu wahangaika kupata kiinua mgongo
EscuchadoKustaafu inafaa kuwa maisha mapya na mema ila wengi hukumbana na wasiotarajia, ikiwa ni pamoja na kubiri kwa muda mrefu kupata hela zao za uzeeni Nchini Kenya, wengi hupata changamoto ya kufuatilia hela zao kutoka shirika la malipo ya uzeeni la NSSF, hili likichukuwa hata miaka miwili, baadhi ya wazee wakifariki kabla ya kunufaika na mgao huo. Skiza makala haya kufahamu zaidi.
Kenya : Raia wa Burundi waondoka
EscuchadoRaia wa Burundi wameamua kuondoka nchini Kenya, kufutia kauli ya rais William Ruto kutaka wageni wanaofanya biashara ndogondogo kuwachia wenyeji kazi hizo. Skiza makala haya
Kenya : Wafanyibiashara waandamana kulalamikia kodi
EscuchadoNchini Kenya mvutano mkubwa imebuka kati ya wafanyibiashara wadogowado na serikali na mapendekezo ya serikali kuongeza kodi. Skiza makala haya kufahamu mengi.